Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema Alipowavisha Vyeo Kwa Niaba ya Rais Jakaya Kikwete maofisa wawili kutoka cheo cha Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 7 June 2013

demo-image

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema Alipowavisha Vyeo Kwa Niaba ya Rais Jakaya Kikwete maofisa wawili kutoka cheo cha Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi.

DSC_6395
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha Kamishna wa Polisi (CP) Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova ambaye hapo awali alikua Naibu Kamisha wa Polisi (DCP). Hafla hiyo fupi imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo maofisa wawili kutoka cheo cha Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi.
DSC_6402
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polis, Thobias Andengenye ambaye hapo awali alikua Kamisha Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Hafla hiyo fupi imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo maofisa wawili kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi al Polisi
DSC_6410
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Alice Mapunda ambaye hapo awali alikua Kamisha Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Hafla hiyo fupi imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo maofisa wawili kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi.
DSC_6401
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP) Suleiman Kova akijipongeza baada ya kuvishwa cheo hicho cha Kamishna wa Polisi (CP) na Mkuu wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi al Polisi

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *