| Kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 |
| Asilimia kubwa waliokuwepo katika mapokezi ya mbio za mwenge jijini Arusha Walikuwa wanafunzi wa Sekondari. |
| Maskauti wakielekea kupata Chakula cha mchana baada ya kuukimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 katika eneo la Chuo cha ufundi Arusha (ATC) leo Jijini ,Arusha. |
| Wa mama wa Ki-Tanzania na sare zao, wakielekea kupata Chakula cha mchana baada ya kuukimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 katika eneo la Chuo cha ufundi Arusha (ATC) leo Jijini ,Arusha. |
| RATIBA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2013 |
| Wanafunzi wa NGARENARO SEKONDARI wakitokelezea baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru 2013 , Jijini Arusha. |
| Wanafunzi wa NGARENARO SEKONDARI wakiwa katika na nyuso za furaha baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru 2013 , Jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment