Dr.
Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa
na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi
CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo,
kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii
TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays
Dr. Yasin akiongoza mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo jumamosi.
Dr.
Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa
na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi
CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo yaliofanyika jumamosi
kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii TTB, Abdulkarim
Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB, Mwenyekiti
wa bodi ya wakurugenzi TTB Baozi Charles Sanga na Kihara Maina
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays


No comments:
Post a Comment