Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo
cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma,
Mchumi Mwandamizi wa Mkakati wa kupunguza umasikini Afrika Bw. Yutaka
Yoshino pamoja na mchumi wa Wizara ya Fedha Bw. Patrick Pima
wakibadilishana mawazo wakati wa chakula hicho.
Kutoka kushoto ni Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile, Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Burundi na Uganda Bw. Philippe Dongier
pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa pia Gavana wa Banki
kuu alikuwepo mwisho kulia.
Kutoka kushoto ni Gavana wa Benki
Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
Bi. Natu Mwamba, Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Harry
Kitilya pamoja na Katibu wa Waziri wa Fedha Bw. Omary Khama wakati wa
chakula cha pamoja.
Ujumbe wa Tanzania katika chakula
cha pamoja. Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano Ubalozi wa
Tanzania-Washington DC Bi Mindi Kasiga, Afisa Itifaki Wizara ya Fedha
Bw. Cyprian Kuyava, Naibu Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango
Prof. Longinus Rutasitara, watatu wanaofuata ni wachumi wa Wizara ya
Fedha Bw. Erasto, Patric Pima, Veronica Maina na mchumi wa Benki Kuu ya
Tanzania Dkt. Dickson Lema.
No comments:
Post a Comment