![]() |
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa akihutubia umati mkubwa wa wananchi wa jimbo la Iringa mjini katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini akiwapungia mkono wananchi waliojipanga barabarani kuwapungia wabunge wa Chadema na katibu mkuu wa Chama hicho. |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi "SUGU" akiwahutubia wananchi jimbo la Iringa mjini. |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Ubungo Mhe. John Mnyika akiwahutubia wakazi wa jimbo la Iringa mjini. |


No comments:
Post a Comment