DR. JAKAYA KIKWETE AKAGUA NYUMBA ZA WAALIMU MBOGA- BAGAMOYO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 22 April 2013

DR. JAKAYA KIKWETE AKAGUA NYUMBA ZA WAALIMU MBOGA- BAGAMOYO

8E9U7250Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo. 8E9U7357Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza  jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo. 8E9U7421Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule hiyo leo kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni hapo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment