KIOO CHA "MAMA YEYOO" - G- NAKO ft Ben Pol KIKO JIKONI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 29 March 2013

KIOO CHA "MAMA YEYOO" - G- NAKO ft Ben Pol KIKO JIKONI


Ben Pol, G Nako pamoja na Director Nisher wakiwa katika utengenezwaji wa video ya wimbo wa "Mama Yeyoo" ya G Nako ndani ya jiji la Arusha.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Nisher alitupia picha hii pamoja na ujumbe huu.....
"Namshkuru Mungu Na G-Wara + Ben'Pol kwa siku ya Kwanza ya Shooting ya Mama Yeyoo! Kesho tunaendelea na Kazi!" Bofya hapa kwa picha zaidi>>>

No comments:

Post a Comment