JENGO LA GHOROFA 16 LAPOROMOKA JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 29 March 2013

JENGO LA GHOROFA 16 LAPOROMOKA JIJINI DAR ES SALAAM

Kushoto ni: Julius Mtatiro na kamanda Sulemani Kova wakiwa katika eneo ambalo jengo la ghorofa 16 limeporomoka jijini Dar Es Salaam.
Kushoto ni: Julius Mtatiro na Mh. Abdulrahman Kinana wakiwa katika eneo ambalo jengo la ghorofa 16 limeporomoka jijini Dar Es Salaam.

Kushoto ni: Julius Mtatiro, Mhe. Kinana na Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mhe. Said Meck Sadick wakiwa katika eneo ambalo jengo la ghorofa 16 limeporomoka jijini Dar Es Salaam.
Kamanda Julius Mtatiro Katika eneo la Tukio
Umati wa watu wakiwa katika eneo ambalo jengo la ghorofa 16 limeporomoka jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment