DR. JAKAYA KIKWETE AKABIDHIWA UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA RAIS WA CHINA BW. XI JINPING DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Mar 2013

DR. JAKAYA KIKWETE AKABIDHIWA UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA RAIS WA CHINA BW. XI JINPING DAR ES SALAAM


Rais Dkt.  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo kutoka kwa Rais Wa Jamhuri ya  Watu wa China Mhe.Xi Jinping wakati wa makabidhiano ya Ukumbi wa  Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam  leo.Ukumbi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya Seriklai ya China na  Tanzania.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Xi Jinping wa China wakishangilia jambo wakati wa makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wageni waliohudhuria sherehe za  makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa China Mhe.Xi Jinping wakiangalia picha za  matukio mbalimbali yanayohusu historia ya ushirikiano kati ya China na  Tanzania katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo  wakati wa sherehe za makabidhiano ya ukumbi huo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad