TANZANIA STARS YAIBAMIZA MOROCCO KWA MABAO 3 - 1 JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 25 March 2013

TANZANIA STARS YAIBAMIZA MOROCCO KWA MABAO 3 - 1 JIJINI DAR ES SALAAM



 Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Thomas Ulimwengu akiwatoka Golikipa na Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco wakati wa Mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe ya Dunia Mwaka 2014 kule nchini Brazil,uliochezwa jioni hii kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda Bao 3 - 1,mabao yaliyotiwa kimiani na Mshambuliaji Machachari,Mbwana Samatha na Thomas Ulimwengu.
 Ubao wa Matokeo unavyosomeka mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment