WANASIASA WAKONGWE WATOA MAONI YAO, JUU YA KATIBA MPYA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 30 January 2013

WANASIASA WAKONGWE WATOA MAONI YAO, JUU YA KATIBA MPYA

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) na Prof. Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kuwaslisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume hiyo leo katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
  Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yake na Tume hiyo uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam ambapo aliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya:Na Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment