PICHA ZA CHEGGE WAKATI WA KUTENGENEZA VIDEO YAKE MPYA YA 'USWAZI TAKE AWAY'. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 January 2013

PICHA ZA CHEGGE WAKATI WA KUTENGENEZA VIDEO YAKE MPYA YA 'USWAZI TAKE AWAY'.

Leo hii mtu mzima Chege Chigunda anafanya video yake mpya aliyoipa jina la USWAZ TAKE AWAY, Chege anasema huu utakuwa ujio wake mwingine kabisa na video hiyo amefanya na Adam Juma kutoka Visual Lab, pia katika wimbo huu Chege amemshirikisha kijana mpya kabisa anajulikana kwa jina la DAINA na hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa utengenezaji wa video hiyo.





No comments:

Post a Comment