CHADEMA WAFANYA MKUTANO MOSHI-KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 January 2013

CHADEMA WAFANYA MKUTANO MOSHI-KILIMANJARO




 Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi .
 
Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongozi mbalimbali wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa. .
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mhe. Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.

 Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Railway Njoro Moshi.
 Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jina lake halikuweza kufahamika, akicheza wakati wa mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi.
 Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk. Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi.


Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa. Source: Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment