DR. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 17 January 2013

DR. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati akisoma Hotuba yake ya ufunguzi wa Jengo hilo. Na Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment