BONGO MOVIE WALIPOTEMBELEA MRADI WA KILIMO KWANZA KONDOA DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 January 2013

BONGO MOVIE WALIPOTEMBELEA MRADI WA KILIMO KWANZA KONDOA DODOMA


Kutoka kushoto ni JB ,RAY ,Irene Uwoya, Richie Richie na Wema Sepetu.
Juzi kati walifunga safari mpaka kondoa ili kuzindua mradi wa kilimo kwanza katika kijiji cha Kwadelo, madhumuni yakiwa ni kuhamasisha vijana kuwekeza kwa wingi katika kilimo na kuacha kukimbilia jijini.

Pia serikali ilitoa matrekta 64 kwa kuanzia mradi huo wa kilimo kwanza Kondoa mkoani Dodoma.



Vincent Kigosi 'RAY' akitafakari kilimo kwanza

Irene Uwoya akipata picha moja na mama huyu.

JB akitoa nasaha zake.

Wema Sepetu akiwa na wamama
Richie

JB akiendesha moja la trekta lilotolewa katika mradi huo. Source: www.victormachota.blogspot.com

No comments:

Post a Comment