![]() |
Huyu ndie Bibie Shamim Mwasha mkurugenzi Blog ya fasheni Tanzania wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ,ilofanyika AKEMI jijini Dar es Salaam. |






Hapa akiwa analishwa kipande cha keki na Bi. Khadija Mwanamboka mdau mkubwa wa urembo.




![]() |
Wazalendo 25 Blog inakupongeza na kukutakia maisha mema na ya baraka tele katika kazi zote unazozifanya,USIMSAHAU MUUMBA WA DUNIA HII. |
No comments:
Post a Comment