SEND-OFF YA MTANGAZAJI WA TBC BI. GRACE KINGALAME - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 1 December 2012

SEND-OFF YA MTANGAZAJI WA TBC BI. GRACE KINGALAME


Mtangazaji na mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Grace Kingalame amefanyiwa tafrija maalum ya kumuaga kabla ya kufunga ndoa yake takatifu na Mwana habari Mwenzake, ambaye anaandikia gazeti la Jambo Leo Bw. Julius Kihampa. Pichani ni Biharusi huyo mtarajiwa akiwa katika pozi na warembo waliompamba na kumlinda siku hiyo.
 Grace Kingalame wa TBC One na mpambe wake wakikata keki wakati wa mnuso wa Send Off ya mtangazaji huyo iliyofanyika ukumbi wa Mwenge Social hall jijini Dar es salaam.
 Wazaa chema
 Grace na wafanyakazi wenzie
 Shangazi wa Grace akidai kodi ya pango toka kwa mshenga
 Wafanyakazi wa TBC One wakijirusha na Kwaito
Wasanii wa Bongo Movies wakiwa jijini Moshi kusaka vipaji vipya vya tasnia hiyo,ndani ya Serengeti Fiesta 2012
 Grace akimpa zawadi hazbendi  mtarajiwa Julius Kihampa.
Zawadi ya maandazi ilitolewa na wafanyakazi wa TBC One ,kulia ni Rafiki yake wa karibu sana Joseph Msami.

No comments:

Post a Comment