Mtangazaji
wa Televisheni ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Grace Kingarame akiwa
amependeza baada ya kufanyiwa mambo katika Saloon ya Centre Point, Mwenge, Dar
es Salaam, ikiwa ni maandalizi ya kufunga harusi na Mwandishi Mwandamizi wa
gazeti la Jambo Julius Kihampa.
Upambaji ukiendelea
Una cheki sasa...!!!ulidhani sitaolewa...?? |
Grace akiwa na mpambe wake
Grace akiondoka Saloon tayari kwenda kupanda Remousine, kwenda kanisani St .Albano.
Gari lililotumika sasa...!!!: Na kamanda wa matukio Blog |
No comments:
Post a Comment