kidumu apiga shoo katika uzinduzi wa benki ya CRDB BANK NCHINI BURUNDI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 7 December 2012

kidumu apiga shoo katika uzinduzi wa benki ya CRDB BANK NCHINI BURUNDI

Menejimenti ya benki ya CRDB ikiwa tayari kumpokea raisi wa Burundi mheshimiwa, Pierre Nkurunziza.
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Burundi KIDUMU aliburudisha halaiki iliyojitokeza katika uzinduzi.
Hawa pia ni wafanyakazi wa benki ya CRDB Burundi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya uzinduzi.


Wafanyakazi wa benki ya CRDB Burundi wakiwa tayari kwa ajili za uzinduzi.

No comments:

Post a Comment