Mheshimiwa Philip Mulugo akimsikiliza kwa umakini Rais wa shirikika lisilo la kiserikali la (AFRICA AMINI NGO) Dr. Christine Wallner ambae ndie mwanzilishi wa shule ya kiingereza katika jamii ya wamaasai ya Engabobo(Maasai Vision School) katika wilaya ya Arumeru -Arusha. |
TBT yakutana na wadau wa chai kujadiliana uendelezaji wa zao
-
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imekutana na wa wadau wa Chai katika
kujadiliana na kuweka mikakati ya uendelezaji wa zao hilo.
...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment