
Humu ndimo amelala mpendwa wetu marehemu Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea'

Imam akiongozo sala ya maiti

Ndugu jamaa na marafiki waliojumuika katika dua

Dua ikiendelea

Umati wa watu ulofika kumsindikiza mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea kuelekea nyumba yake ya milele

Umati wa watu mchana huu katika mazishi ya marehemu Sharo Milionea Muheza, Tanga

Rafiki
kipenzi na mwigizaji nguli wa Tanzania Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa
mkono huku wakielekea kwenye mazishi mchana huu Muheza Tanga. Picha Na Jiachie Blog ( http/:www.michuzijr.blogspot.com )
No comments:
Post a Comment