MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) YAENDELEA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHIMWAGA LEO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 22 November 2012

MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) YAENDELEA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHIMWAGA LEO

Hii Ndio sehemu watakayokaa wakuu na Viongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma kwaajili ya kuwatunuku wahitimu muda mfupi ujao katika viwanja vya chimwaga vilivyopo chuoni hapo
Baadhi ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho na rafiki zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana wa leo katika viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Nikiwa na Classmate wangu Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yanayofanyika katika Viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo
Kutoka Kushoto Ni Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na Emmanuel Mwakibinga na Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya Sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza katika Viwanja Vya Chimwaga leo
Wahitimu wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu wakiwa Katika Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo Chuoni hapo leo. Tutaendelea Kuwarushia Matukio Zaidi ya Mahafali ya Tatu Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma. Endelea Kufuatilia Lukaza BLOG

No comments:

Post a Comment