RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT -DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 22 October 2012

demo-image

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT -DODOMA

u33
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
u2
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiiimba na kucheza nyimbo mbalimbali katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma alipowasili leo kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
u7
Mwenyekiti wa UWT  Sophia Simba akiongea katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
u14
u13
uwt1
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
u19
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT  Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina  Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
u3
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT
u18
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakirushwa na Sizya Mazongela wa kundi la Segere
u20
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
u22
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
u29
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *