| Mhe. Joshua Nassary Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaasa wanafunzi wa Nshupu Sekondari wasome kwa bidii kabla ya kukabiliana na mitihani yao wiki ijayo . |
| Hapa wanafunzi wakimsikiliza Mbunge wao Mhe. Joshua Nassary kwa Umakini wa Hali ya Juu |
| Hawa ni viongozi wa wanafunzi wa Sekondari ya Nshupu wakitoa shukrani zao na zawadi(waliojichanga) kwa Mbunge wao Mhe. Joshua Nassary. |
| Mhe. Joshua Nassary Mbunge wa Arumeru Mashariki akipiga picha na kiongozi wa kike wa wanafunzi wa Sekondari ya Nshupu Bi. Lawela J. Guga baada ya kumpa zawadi ya shuka. |
| Mhe. Joshua Nassary Mbunge wa Arumeru Mashariki akipiga picha na kiongozi wa kiume wa wanafunzi wa Sekondari ya Nshupu Bw. Godson Mlay mara baada ya kumpa zawadi ya shuka. |
| Mhe. Joshua Nassary Mbunge wa Arumeru Mashariki akipiga picha na waalimu na wadau wengine. |
No comments:
Post a Comment