DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA UTALII WA NDANI-ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 9 October 2012

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA UTALII WA NDANI-ARUSHA






Nasseb Abdul a.ka Diamond Platnumz(kushoto)akiwa na msanii mwenzake Linah Sanga wakiangalia wanyama ndani ya Bonde la Ngorongoro lililopo kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)ili kuhamasisha wananchi walipigie kura Bonde la Ngorongoro lishinde katika maajabu saba ya Afrika. (picha hii kwa hisani ya mdau wa blog Bi. Jamillah Omar)

No comments:

Post a Comment