Baadhi ya waendesha piki piki wakiwa na askari wakati wa mgomo huo eneo la Silent Inn Sakina,Jijini Arusha leo.
Takribani boda boda 1000 zilipaki katika eneo la Silent Inn Sakina, Jijini Arusha leo ,wakipinga ulipishwaji wa ada ya shilingi 500 ya parking .
Umati wa waendesha boda boda wakiwa katika eneo la Silent Sakina, Jijini Arusha leo.
Picha kwa hisani ya : www.victormachota.blogspot.com
No comments:
Post a Comment