Mizengo Pinda akutana na Masheikh 69 bungeni Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 16 August 2012

Mizengo Pinda akutana na Masheikh 69 bungeni Dodoma


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) aliyevaa suti nyeusi a   akiwa  katika picha ya pamoja na baadhi ya Masheikh 69  wa  Jimbo la Iramba Magharibi . Masheikh   hao ambao walikuwepo Bungeni leo(jana)  mjini Dodoma kwa mwaliko Mbunge wao, Mwigulu.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) aliyevaa suti nyeusi a na baadhi ya Masheikh 69  wa  Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza    kuhusu  sensa na akiwasisitiza juu ya kuwaelimisha waumini   wa o juu ya umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya taifa . Masheikh   hao ambao walikuwepo Bungeni leo(jana)  mjini Dodoma kwa mwaliko Mbunge wao, Mwigulu Mchemba.
Mbunge wa viti Maalum Singida, Martha Mlata akisalimiana na Masheikh 69  wa  Jimbo la Iramba Magharibi . Masheikh   hao ambao walikuwepo Bungeni leo(jana)  mjini Dodoma kwa mwaliko Mbunge wao, Mwigulu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment