Diamond na Orijino Komedi walifunika siku ya uzinduzi wa mpango wa maendeleo ya Jamii (TASAF) jijini Dodoma. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 18 August 2012

demo-image

Diamond na Orijino Komedi walifunika siku ya uzinduzi wa mpango wa maendeleo ya Jamii (TASAF) jijini Dodoma.

IMG_1840
Diamond na kundi lake wakifanya kweli jukwaani.
IMG_1843
Diamond na kundi lake wakifanya kweli jukwaani.
IMG_1848
Diamond na kundi lake wakifanya kweli, uwanjani mbele ya mashabiki waliofika kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma.
IMG_1850
Diamond na kundi lake wakifanya kweli jijini Dodoma.
IMG_1856
Diamond na kundi lake wakipanda jukwaani kumpa mkono Dr. Jakaya Kikwete.
IMG_1870
Joti....weweeee.....akiwapa mashabiki mambo yake...mchekeshaji wa Orijino Komedi!!!
IMG_1874
Mpoki a.k.a TAJIRI LA KIHAYA...akisikilizwa na Masanja Mkandamizaji wote ni wachekeshaji wa Orijino Komedi!!
IMG_1876
Huyu ni Masanja Mkandamizaji,mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi
IMG_1880
Wewe unacheka....!!!wao wanasalimiana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *