WAZIRI WA FEDHA DK. WILLIAM MGIMWA AWASILISHA BAJETI YA 2012/2013 LEO BUNGENI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 14 June 2012

WAZIRI WA FEDHA DK. WILLIAM MGIMWA AWASILISHA BAJETI YA 2012/2013 LEO BUNGENI DODOMA


Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali  ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya  2012/13 Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akionyesha mkoba wenye bajeti huku akiwa ameongozana na Naibu Waziri Janet Mbene.
Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka  2012/13, Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Wapiga picha wakigombea  picha  ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  wakati aliponyanyua mkoba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Mabalozi wa Nchi mbalimbali  waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment