SAFARI YA MWISHO YA DENNIS NGALESONI NA FARAJA HAULE.... - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 14 June 2012

SAFARI YA MWISHO YA DENNIS NGALESONI NA FARAJA HAULE....

Huku ndipo gari lilipo angukia...yaani inauma sana.
Gari linavyoonekana kwa nyuma.
Upande ambapo gari lilivyogongana na lingine
Gari lilivyochakazwa upande wa abiria.
Upande wa Dereva ...ajali ilikuwa mbaya sana
Hapa ndipo makazi yake ya milele .  Huyu ni Marehemu Denis Ngalesoni Saitoti ambaye amezikwa leo Moshono Arusha. Denis amefariki kutokana na ajali ya gari iliyotokea Nairobi Kenya na alifariki papo hapo na mtoto wa mchungaji wa kanisa la Elerai Lutheran church Arusha,Faraja Haule ambaye yeye atazikwa kesho kwenye makaburi ya Njiro Arusha. Marehemu hawa walikuwa ni kama ndugu maana walipendana sana na kushirikiana kila kitu, hivyo familia zao pamoja na marafiki wamekubaliana Denis azikwe leo na Faraja azikwe kesho ili kutoa fursa ya pande zote kushiriki mazishi ya wapendwa hawa.Pia wamezaliwa mwaka mmoja 1988. Tuliwapenda ila Mungu amewapenda zaidi..Mungu Awalaze mahali Pema

No comments:

Post a Comment