Makamu
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula akitoa neno la
ukaribisho kwa Mgeni Rasmi na timu yake nzima wakati walikuja kufungua
zoezi la kujitolea damu kwa hiari kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
(UDOM) zoezi lililoandaliwa na Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada
ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) zoezi
lililofanyika leo Chuoni Hapo
Mgeni
Rasmi ambaye pia ni Mkuu Wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Lephy Gembe
akitoa neno fupi kwa wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
waliofika katika Zoezi la Kujitolea Damu kwa Hiari lililofanyika Chuo
Kikuu Cha Dodoma leo.
Makamu
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof. Idris Kikula (Wa Pili Kushoto) akiwa
amesimama wakati akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya
Dodoma Mjini Mh Lephy Gembe aliyeongozana na Mganga Mkuu wa Hospitali
ya Mkoa Wa Dodoma, Na Balozi Job Lusinde katika zoezi la kujitolea damu
kwa hiari lililofanyika siku ya leo Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) na
Kuandaliwa na Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO)
Afisa
habari wa Taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya
sosoholojia aliyemaliza rasmi muda wake leo ambaye pia ni Mmiliki wa
Mtandao wa LUKAZA BLOG Mh. Josephat Lukaza akiwa tayari ameshamaliza
zoezi la uchangiaji wa Damu kwa Hiari ambalo liliandaliwa na taasisi ya
wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOMSSO) zoezi lililofanyika leo Chuo Hapo.
Afisa
Mahusiano wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Bi Beatrice alipokua akitoa
damu kwa hiari katika Zoezi la Kuchangia Damu kwa Hiari lililofanyika
Chuo Kikuu Cha Dodoma leo huku Akishuhudiwa na Mshauri wa wanafunzi wa
Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Manongi(Mwenye Miwani)
Baadhi
ya wanafunzi wakiwa wamejitokeza katika zoezi la kuchangia Damu kwa
hiari lililofanyika leo Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) na kuandaliwa na
taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo
Kikuu Cha Dodoma(UDOM)
Baadhi
ya Viongozi wa taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya
sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) ambao Pia Wamemaliza Muda
wao rasmi leo Wakiwa katika zoezi la Uchangiaji Hiari wa Damu zoezi
lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma leo ambalo liliandaliwa na Taasisi
ya wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosoholojia Ya Chuo Kikuu
Cha Dodoma(UDOMSSO). Kutoka Kushoto Ni Emmanuel Mwakibinga akifuatiwa na
Stefano Saimon.
Baadhi
ya wanafunzi wakiwa wamejitokeza katika zoezi la kuchangia Damu kwa
hiari lililofanyika leo Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) na kuandaliwa na
taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo
Kikuu Cha Dodoma(UDOM)
Makamu
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula akiaga wanafunzi
na wafanyakazi waliojitoa katika zoezi la uchangiaji damu kwa hiari
lililoandaliwa na taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya
sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) lililofanyika chuo hapo
leo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa Wanasubiri Kwenda Kutoa
damu kwa hiari lililoandaliwa na taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada
ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) zoezi
lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma leo.
Picha zote na Josephat Lukaza blog
No comments:
Post a Comment