Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Waongoza Mamia Ya Watu Kuaga Mwili Wa Muasisi Wa CHADEMA Marehemu Bob Makani Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 11 June 2012

demo-image

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Waongoza Mamia Ya Watu Kuaga Mwili Wa Muasisi Wa CHADEMA Marehemu Bob Makani Jijini Dar es Salaam

SAM_2545
 Waombolezaji mabo wengi wao ni makada wa CHADEMA wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Bob Makani wakati mwili huo ulipofikishwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kutolewa heshima za Mwisho.
SAM_2537
Vioongozi wa juu wa Serikali akiwepo Rais Jakaya Kikwete (watatu kuli) Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilali(wapili kulia) Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (wa nne kulia) walihudhuria.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *