PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MAONYESHO YA MALIASILI NA UTALII 2012(KARIBU -TRAVEL AND TOURISM FAIR-2012-ARUSHA). - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 9 June 2012

PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MAONYESHO YA MALIASILI NA UTALII 2012(KARIBU -TRAVEL AND TOURISM FAIR-2012-ARUSHA).

MIKONOZZZZZZZZZZZZZZZZZ
Wanahabari waliotembelea maonyesho ya utalii na maliasili ARUSHA 2012.
Mh. Mustapha Akunay (Mkurugenzi wa Tanzania Associations of tours operators) akiwa na Adam Ihucha mwana habari.
Wadau wa blog yangu ya  www.wazalendo25.blogspot.com  ,kushoto ni Walter wa Creative Studio na Mh. Mpingo.
Hata kwetu wapo...................................
Wakurugenzi wa PALACE HOTEL ARUSHA wakipiga picha ya pamoja kwenye banda lao.
Linajielezaaaaaaaaaaaaaaaa
Na Farasi nazo zilikuwepo kwenye maonyesho ya Maliasili na Utalii Arusha.
Ngoma za Jadi nazo zilirindima..............................
Watoto nao wali-enjoy sanaaaaaaaaaaaa........!!!
Watoto showzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.....
Vyakula vya kila aina vilikuwepo .
Bendi ilikuwa ikitumbuiza kwa polepole.....
Watu mbalimbali wakijipatia vyakula na vinywaji mbali mbali..
Haya ni mambo ya BENSON SECURITY  SYSTEMS na Appliances mbalimbali....
Sales Manager Bi. Khadija Sood akitoa maelezo kuhusu bidhaa za Benson Security systems....
Administrator wa BENSON SECURITY SYSYTEMS LTD.Bi. Salma Dahal akipata picha baada ya kutembelewa na www.wazalendo25.blogspot.com leo kwenye banda lao.KARIBU FAIR 2012
Huyu ni Gorillla kutoka Uganda akipita kuonyesha bidhaa zao. 
Watoto nao wakipata picha ya pamoja.........
Helikopta na yenyewe ilikuwepo ili kuwafurahisha wale wenye dollar zao ,kwa kuipanda na kuzungushwa katika eneo la viwanja vya maonyesho ya Maliasili na Utalii (KARIBU -TRAVEL AND TOURISM FAIR 2012-Arusha)

No comments:

Post a Comment