Matukio :Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 11 June 2012

Matukio :Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu

Hii ni mojawapo ya gari azitembeleazo Wema Sepetu.

Wema Sepetu akiwa kwake

Huu ndio mpangilio wa nyumba yake, kiukweli uko poa.

Wema akiwa ameketi sebuleni kwake.
  
Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV

Hii ni Corridor......

Wema, Snura na Zamaradi.

Mpango mzima wa Music system & TV

Hapa ni baadhi ya meeneo ya ndani kwa Wema

No comments:

Post a Comment