NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII Dr. NYALANDU AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII ARUSHA (KARIBU- TRAVEL AND TOURISM FAIR -2012) - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 8 June 2012

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII Dr. NYALANDU AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII ARUSHA (KARIBU- TRAVEL AND TOURISM FAIR -2012)

Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mh. Mustapha Akunay (Executive Secretary wa Tanzania association of tour operators) na Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo.
Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mh. Mustapha Akunay (Executive Secretary wa Tanzania association of tour operators) na Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo, akiwa na Wafanyakazi wa Karibu Travel and Tours.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo akipiga picha na wafanyakazi wa KARIBU FAIR.
Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mh. Mustapha Akunay (Executive Secretary wa Tanzania association of tour operators)  katika viwanja vya maonyesho Arusha leo,akipiga picha na wacheza ngoma waliofika eneo hilo.
Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho ya biashara na utalii Arusha leo.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo,akipiga picha na mdau.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo,akipiga picha na wadau wa KARIBU FAIR.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo,akipiga picha na wafanyakazi wa SUNNY  SAFARIS ya Arusha.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo,akipiga picha na wacheza ngoma .

No comments:

Post a Comment