![]() |
| Pastor Jennifer wa CALVARY ASSEMBLIES SOMBETINI ARUSHA,Akitoa ombi kabla ya cd au albam kuuzwa (Albam ya SEMA NAMI) |
| Collins Peter Mwanachuo wa Tumaini akiwashukuru watu wote waliohudhuria kwenye uzinduzi wa albam yake ya pili (SEMA NAMI). |
![]() |
| Wageni waalikwa wakisikiliza nyimbo zenye nguvu ya kushusha roho mtakatifu popote alipo.....! |
![]() |
| Pastor Anna Apolinary akiinadi cd ya kwanza |
![]() |
| SEMA NAMI...SEMA NAMI... SEMA NAMI..... |
| Collins akigusa kinanda kwa ustadi wa hali ya juu. |
| Collins Peter akiimba wimbo wake wa kwanza (albam ni SEMA NAMI) |
![]() |
| Hapa Collins akisikilizia watu wainunue CD yake ya SEMA NAMI...nyuma (mwenye tai) ni kijana Ernest Louise mmoja wa waandaaji wa tamasha hilo. |
![]() |
| Warembo waliokuja kumpiga tafu kwenye uzinduzi wa cd ya Collins Peter (SEMA NAMI) |
![]() |
| Hapa akipiga picha na warembo wa kanisa hilo |
![]() |
| Hapa akiwa na matumaini na tafakari ya albam yake kufanikiwa (SEMA NAMI) |









No comments:
Post a Comment