Taswira Mbalimbali Za Safari ya Mwisho ya Steven Kanumba - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 11 April 2012

Taswira Mbalimbali Za Safari ya Mwisho ya Steven Kanumba

 
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu,Steven Kanumba likiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.akifuatiwa na Mkewe,Pamoja na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete (mwenye nguo nyeupe kulia).
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwasili viwanjani hapa. 
Mwili wa Marehemu Kanumba ukiwa mbele ya maelfu ya watu kwa ajili ya kuagwa rasmi
 Mbunge wa mbeya Mjini(CHADEMA)Joseph Mbilinyi aka Mr II Sugu akitoa heshima zake za mwisho
Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwa umekwishawasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar mapema hii asubuhi tayari kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kuanza kuuaga mwili.
 Watu mbalimbali wakiwa wamezimia.
Picha na Habari na Mdau Jestina George, Jeff Msangi

No comments:

Post a Comment