RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA IKULU. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 April 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA IKULU.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustino Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha,  Abdallah Ali Saleh, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mbunge wa Viti Maalum, Al-shymaa Kwegiyr,  kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt, Edmund Sengondo Mvungi,  kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Muhidin Sufiani. OMR

No comments:

Post a Comment