Taswira Za Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba Bi.Flora Mgoa Akiuaga Mwili wa Mwanae Steven Kanumba - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 11 April 2012

Taswira Za Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba Bi.Flora Mgoa Akiuaga Mwili wa Mwanae Steven Kanumba

   Mwili wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Steven Kanumba ukiwa katika sanduku wakati ukiagwa kwenye Viwanja vya Leaders' Club, Kinondoni, Dar es Salaam.
Jamani Mwanangu  kwa heriii ....Mungu Amekupenda zaidi..Mama mzazi wa Steven Kanumba akionekana kusema wakati akiuaga mwili wa mwanae.
Mama Mzazi wa marehemu Steven Kanumba Bi. Flora Mgoa akiuaga mwili wa mwanaye kwa mara ya mwisho kabla ya kuzikwa rasmi katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salamaa.
Na haki ngowi.com
HATA MIMI KAMA MZALENDO NILIMPENDA SANA KANUMBA NA KAZI ZAKE...BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment