UJASIRIAMALI HALISI...!!!?? - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 15 March 2012

UJASIRIAMALI HALISI...!!!??

Jombaa alikuwa busy anatembeza ndizi...mimi nadhani lazima watu wanunue kwa wingi kwa sababu ,jinsi jamaa alivyotupia hayo masuti na tai lazima uamini huu ndio ujasiriamali halisi..

No comments:

Post a Comment