![]() |
Mgombea ubunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Bw. Joshua Nassary atembelea soko la Tengeru Arusha na kukutana na wananchi waliokuwemo hapo. Mbunge huyu ametokea kupendwa sana na wazee, wa mama na vijana walioko katika jimbo hili la Arumeru Mashariki...... |
WANANCHI TANGA, PWANI WAITIKIA VYEMA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA
KURA
-
Mpiga Kura Bi. Habiba Kingazi mkazi wa Mtaa wa Lumumba, Kata ya Ngamiani
Kaskazini akionesha kadi yake baada ya kuboresha taarifa zake katika
Daftari ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment