Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mercy Sila hapa anapanda mti katika kijiji cha Kivulili kilichopo wilayani Arumeru, mkoani Arusha. sehemu hiyo ndipo wiki ya maji ilipozinduliwa kwa mkoa wa Arusha ,alipanda mti huu kwa ishara ya kuonyesha ni jinsi gani wameweza kuifadhi eneo hili kwa ajili ya maji.
Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Maji La Arusha (AUSA) Bw. Filex Mrema akiweka mchanga kwenye nguzo ambazo waliziotesha katika kiwanja hicho kuzuia watu kupita kiholela.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru,mercy Sila akiwa anahutubia wananchi walioudhuria katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya maji.
wamaasai nao hawakuwa nyuma katika kutoa burudani nzuri na ya kuvutia.
Serekali imetakiwa kuwachukulia hatua kali wale wote ambao wanafanya kazi ya kukata miti bila vibali pamoja na wale wote ambao hawatunzi mazingira ambayo yanayo wazunguka,
Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa kijiji cha Kivulili Bw. Raphael Kulei katika kata ya Orturoto wilayani Arumeru.
No comments:
Post a Comment