MCHAKATO WA UGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUMERU, MASHARIKI LAIBUKA TENA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 1 March 2012

MCHAKATO WA UGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUMERU, MASHARIKI LAIBUKA TENA.


 Mbunge mtarajiwa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari akiashangilia na wananchi wake wa jimbo la Arumeru Mashariki.

Vidole viwili juu ishara ya Ukombozi......!!! Chadema yapata mgombea ambae ni kijana mdogo.Ndugu Joshua Nassary alieketi juu ya Gari akishangilia ushindi wa kura zaidi ya 900.
 Wagombea ubunge wakitoka katika chumba cha kupigia kura, kushoto ni Ndugu Sioi Sumary na kulia ni Ndugu William Sarakya.
 Mgombea ubunge wa Jimbo la Arumeru kupitia CCM, Ndugu  Sioi Sumary, akiwa anasalimiana na  mkereketwa wa chama hicho ,maarufu kama Pallangyo....dah ni mfupi zaidi ya ufupi.

No comments:

Post a Comment