Rais Jakaya Kikwete uso kwa uso na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 3 March 2012

Rais Jakaya Kikwete uso kwa uso na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela baada ya balozi huyo kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili


 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini, Amour Zacarias Kupela wakati Balozi huyo alipomtembelea rais Kikwete Ikulu ya jijini Dar es Salaam hii leo kwa mazungumzo. Wawili hao walizumngumza mambo mbalimbali yazihusuzo nchi zao na ushuirikiano uliopo baina ya nchi hizo.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment