Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifyatua tofali ikiwa ni ishara ya kuzindua raasmi mashine hizo za kufyatulia matofali ya bei nafuu na uzinduzi wa kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali, wakati alipofika kuzindua kambi hiyo iliyopo Kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani,akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment