Dada Asha Baraka Aanzisha Taasisi Ya Uvumbua Vipaji Vya Wapigaji Ala Za Muziki Ya Twanga Academia - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 7 February 2012

Dada Asha Baraka Aanzisha Taasisi Ya Uvumbua Vipaji Vya Wapigaji Ala Za Muziki Ya Twanga Academia

Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka, akionesha vifaa vya muziki vitakavyotumiwa na Taasisi ya kuvumbua vipaji ya Twanga Academia wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka, akionesha vifaa vya muziki vitakavyotumiwa na Taasisi ya kuvumbua vipaji vya wapigaji ala za muziki ya Twanga Academia wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Warren Reed.
Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka akiwa na Mwanamuziki Mkongwe nchini,Mzee Hamza Kalala.
Na H@ki Ngowi.com

No comments:

Post a Comment