MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA KICHINA DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 16 January 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA KICHINA DAR ES SALAAM

China nvjini Tanzania, Liu Xinsheng, wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jinni Dar es Salaam jana jioni Januari 15, katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina, sherehe zilizoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina nchini (CBCT). Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza na Balozi wa China nvjini Tanzania, Liu Xinsheng, wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jinni Dar es Salaam jana jioni Januari 15, katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina, sherehe zilizoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina nchini (CBCT).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina, zilizoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina nchini (CBCT), zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana jioni Januari 15. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea mfano wa Hundi, yenye thamani ya Sh. Milioni 16, kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, (kulia) iliyotolewa na City Bank Tanzania LTD kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana, ikiwa ni sehemu ya sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana Januari 15.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea mfano wa Hundi, yenye thamani ya Sh. Milioni 10, kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, (kulia) iliyotolewa na Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina wa Tanzania (CBCT) kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana, ikiwa ni sehemu ya sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana Januari 15. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wasanii wa Kichina waliokuwa wakitoa burudani jukwaani wakati wa sherehe hizo, wakati akijiandaa kuondoka katika Viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment