AIRTEL YAFANYA SEMINA KWA MASHIRIKA NA WADAU MBALI MBALI KUHUSU HUDUMA YA AIRTEL MONEY - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 31 January 2012

AIRTEL YAFANYA SEMINA KWA MASHIRIKA NA WADAU MBALI MBALI KUHUSU HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu ya mikononi ya Airtel Bw. Kaplesh Mehta akitoa semina ya huduma ya Airtel Money kwa mashirika na wadau mbali mbali lengo ni kuwaelimisha mashirika na sekta binafsi jinsi ya kutumia Airtel Money na inavyoweza kuwasaidia kutoa huduma na kuwasaidia katika biashara zao.

No comments:

Post a Comment