VODACOM MISS TANZANIA 2011 AKABIDHIWA RASMI JEEP PATRIOT LEO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Dec 2011

VODACOM MISS TANZANIA 2011 AKABIDHIWA RASMI JEEP PATRIOT LEO

Vodacom Miss Tanzania Salha Israel akipokea funguo ya gari aina ya Jeep Patriot kutoka kwa Meneja Matukio na Udhamini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw. Alfred Minja. Gari hiyo ina thamani ya shilingi 72 Milioni.
Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akimuelekeza jambo Vodacom Miss Tanzania Salha Israel wakati wa kumkabidhi rasmi gari aina ya Jeep Patriot yenye thamani ya shilingi 72 Milioni.
Vodacom Miss Tanzania Salha Israel akionyesha funguo ya gari aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Udhamni na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa wa pili toka kulia kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw. Alfred Minja.
Vodacom Miss Tanzania Salha Israel akifungua mlango wa gari lake aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi 72 milioni tayari kwa kuondoka nalo mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa hayupo pichani,Ikiwa ni zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.
Vodacom Miss Tanzania Salha Israel akiondoka na gari lake aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi 72 milioni mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa hayupo pichani,Ikiwa ni zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.
Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akiongea na waandishi wa habari hapo pichani wakati wa kumkabidhi rasmi Vodacom Miss Tanzania Salha Israel gari aina ya Jeep Patriot yenye thamani ya shilingi 72 Milioni,kulia Meneja Masoko wa CFAO Alfred Minja ambao ni wadhamini wenza.
Na Full shangwe Blog 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad