KAMPUNI YA BIA YASERENGETI YATANGAZA WANAFUNZI WANNE BORA WALIOJIPATIA UFADHILI WA MASOMO YA JUU KUPITIA MPANGO WA UFADHILI WA EABL-2011/ 2012 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 17 November 2011

KAMPUNI YA BIA YASERENGETI YATANGAZA WANAFUNZI WANNE BORA WALIOJIPATIA UFADHILI WA MASOMO YA JUU KUPITIA MPANGO WA UFADHILI WA EABL-2011/ 2012

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akimpongeza Mwanafuzi Fredrick Mwambafula kulia ambaye amefanikwa kupata udhamini wa kusomea uinijini na kutoka kampuni hiyo wakati alipotambulishwa kwa wanahabari leo katika makoa makuu ya kampuni hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam katika picha kulia ni David Shoo na Imani Lwinga Meneja Mawasiliano SBL.
Mwanafuzi Fredrick Mwambafula kulia ambaye amefanikwa kupata udhamini wa kusomea uinijini na kutoka kampuni hiyo akiongea na waandishi wa habari wakati alipotambulishwa kwa wanahabari leo katika makoa makuu ya kampuni hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam ,katika picha kulia ni David Shoo na Imani Lwinga Meneja Mawasiliano SBL..
Na Full shangwe blog

No comments:

Post a Comment